WASIRA AANZA ZIARA KILIMANJARO..
Jun 5, 2026
MOSHI.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduz Tanzania i Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Kilamanjaro kuanza ziara ya siku nne ambayo itatawaliwa na vikao vya ndani
Wasira ambaye amewasili kilimanjaro jana Juni 4,2026 anaanza ziara yake leo Juni 5,2026 ambapo aliwasili katika ofisi za CCM Mkoa saa 4:18 asubuhi na kuingia ndani kuanza kikao na wajumbe wa kamati za siasa Mkoa na Wilaya ya Moahi mjini.
Katika ziara hiyo kiongozi huyo atafanya vikao vya chama vya ndani ambapo anatarajiwa kukutana na viongozi mbalimbali kuanzia kwenye mashina, matawa, kata na wilaya katika wilaya za Moshi mjini, Rombo na Same

.jpeg)
.jpeg)
