Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
  BARABARA ZASALIA TUPU NCHINI KENYA, SIKU YA PILI YA MAANDAMANO YAKUPINGA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA

BARABARA ZASALIA TUPU NCHINI KENYA, SIKU YA PILI YA MAANDAMANO YAKUPINGA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA

 

Barabara ya Waiyaki Way, mjini Nairobi

Usafiri wa umma nchini Kenya umeathirika kwa siku ya pili, mgomo wa kitaifa wa magari ya uchukuzi ukiendelea.

Barabara nyingi nchini Kenya, haswa mji wa Nairobi, zimesalia tupu, huku wasafiri kadhaa wakionekana kutembea kwa miguu kutokana na ukosefu wa magari.

Barabara zilivyosalia tupu mjini Nairobi kwa picha:

Picha ya barabara kuu ya Express Way




Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3