Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
TANZIA :MWANAHABARI  MKONGWE NCHINI LEONARD MWAKALEBELA AFARIKI DUNIA

TANZIA :MWANAHABARI MKONGWE NCHINI LEONARD MWAKALEBELA AFARIKI DUNIA

 

Na Matukio Daima Media


Mwandishi Wa Habari Mwandamizi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Leonard Wilfred Mwakalebela, amefariki dunia leo Julai 8 nyumbani kwake, Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.

Taarifa zilizotolewa na TSN zinaeleza kuwa Mwakalebela alikuwa akihudumu katika Kurugenzi ya Habari na kwamba taratibu za mazishi zinaendelea kuratibiwa kwa kushirikiana na familia.

Matukio Daima Media inaungana na wanahabari wote Tanzania  ,rafiki na wafanyakazi wenzake wote kutoa  pole kwa familia ya marehemu.

Taarifa zaidi tutaendelea kuwajiza itoshe kusema tulimpenda sana Leonard Mwakalebela ila Mungu kampenza zaidi yetu hivyo tusema Bwana ametoa na yeye ametwaa jina lake lizidi kuhimidiwa .

AMEN

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3