Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
KAMISHNA WA MAGEREZA MALAWI AWASILI TCTA KUSHIRIKI HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO

KAMISHNA WA MAGEREZA MALAWI AWASILI TCTA KUSHIRIKI HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO


Kamishna wa Jeshi la Magereza nchini Malawi, Kamishna Milda Salilika, akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Septemba 4, 2026, kwa ajili ya kushiriki Hafla ya Kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Kwanza (SGT No.1) ya mwaka 2026.



 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3