Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
DKT NCHIMBI AMTEMBELEA MHE DKT JAKAYA KIKWETE RAIS MSTAAFU

DKT NCHIMBI AMTEMBELEA MHE DKT JAKAYA KIKWETE RAIS MSTAAFU


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.

 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3