Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AUNGANA FAMILIA KATIKA MISA TAKATIFUYA KUMBUKUMBU YA MIAKA SITA  YA HAYATI BENJAMIN MKAPA

MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AUNGANA FAMILIA KATIKA MISA TAKATIFUYA KUMBUKUMBU YA MIAKA SITA YA HAYATI BENJAMIN MKAPA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameungana na Familia, Waumini, Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Misa Takatifu ya kumbukumbu ya miaka sita tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Immaculate, Upanga Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 23 Julai 2026.





 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3