Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
*WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA*

*WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA*

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.

Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii.



 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3