Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
*KUELEKEA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI KWA UMMA 2026*

*KUELEKEA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI KWA UMMA 2026*

*📌Wadau waendelea kuvutiwa na utekelezaji miradi ya REA*

📍Chinangali park - Dodoma

Wadau wa Sekta ya Nishati wameendelea kutembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika siku ya kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi kwa Umma 2026

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka 

*Kauli mbiu "Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu"*





 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3