Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
BREAKING NEWS:AJALI NYINGINE BASI  LA CLASIC LAGONGANA NA LORI LATUMBUKIA KORONGONI.

BREAKING NEWS:AJALI NYINGINE BASI LA CLASIC LAGONGANA NA LORI LATUMBUKIA KORONGONI.

 Na Matukio Daima Media 

Abiria kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa na kukimbizwa Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa baada ya basi la Clasic kutoka Zambia kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori .


Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12 asubuhi  eneo la Kitwiru Manispaa ya Iringa na kupelekea basi hilo kutumbukia korongoni.

jitihada za kuokoa majeruhi ndani ya basi hilo lililotumbukia korongoni zinaendelea taarifa zaidi utaendelea kuzipata tembelea chanel ya Matukio Tv Daima kwa habari zaidi TAZAMA AJALI KUPITIA LINK HII

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3