Home › Uncategories › ALIYEKUWA KAMISHINA WA ADC NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJINI DAUD MASASI SASA KUGOMBEA UBUNGE ISIMANI KWA CHAUMA
ALIYEKUWA KAMISHINA WA ADC NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJINI DAUD MASASI SASA KUGOMBEA UBUNGE ISIMANI KWA CHAUMA
May 10, 2026
ALIYEKUWA kamishina wa chama cha ADC kanda ya nyanda za juu kusini na mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini uchaguzi mkuu 2025 Daud Issa Masasi amerejesha rasmi fomu ya tume huru ya uchaguzi kutaka kugombea ubunge jimbo la Isimani kupitia CHAUMA .