WAZIRI DKT RIDHIWAN KIKWETE NA VIONGOZI MBALI MBALI WAKIWA MSIBANI KWA LUKUVI Mar 26, 2026 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iringa vijijini stivin Mhapa akiwa na viongozi mbali mbali akiwemo waziri Dkt Ridhiwan Kikwete Leo msibani kwa Lukuvi Mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Sitaki akiwa msibani kwa Lukuvi