MWENYEKITI CCM IRINGA VIJIJINI AFIKA NYUMBANI KWA LUKUVI DODOMA KUTOA POLE
Mar 25, 2026
mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa vijijini Costantino Kihwele akisaini kitabu cha Maombolezo msiba wa Mbunge wa Isimani Wiliam Lukuvi nyumbani kwake Dodoma Leo viongozi mbali mbali kutoka CCM wilaya ya Iringa vijijini wakiongozwa na mwenyekiti Kihwele na katibu Masanguti wakiwa nyumbani kwa Lukuvi Dodoma

