Mbunge wa Iringa mjini Fadhil Ngajilo (kushoto) akiwa na Godfrey Kilyenyi msaidizi wa Mnadhimu mkuu wa JWTZ kwenye ibada ya kuaga Mwili wa aliyekuwa waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu (sera uratibu wa bunge) na mbunge wa Ismani Wiliam Lukuvi Leo katika viwanja vya bunge jijini Dodoma