Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
UMEME WAKATIKA MAENEO MENGI MJI WA IRINGA TANESCO WAPO KIMYA

UMEME WAKATIKA MAENEO MENGI MJI WA IRINGA TANESCO WAPO KIMYA

 


Maeneo mengi ya Mji wa Iringa kama,Mkimbizi,Semtema ,kichangani yapo gizani  usiku huu baada ya umeme kakatika ghafla na hakuna taarifa yoyote ya Tanesco iliyotolewa juu ya changamoto hiyo  wateja wa Tanesco Iringa waomba kitengo cha huduma kwa wateja kutoa taarifa kwa wakati pindi zinapojitokeza changamoto kama hizo .

kuwa awali kitengo cha huduma kwa wateja Tanesco Iringa kilikuwa kukifanya kazi kwa haraka zaidi kuwajuza wateja wake pindi umeme unapokatika kueleza changamoto na ufumbuzi wake ila siku hizi wanakuwa kimya sana.

Ushauri wa Mpitanjia Matukio Daima Tanesco kitengo cha huduma kwa wateja kurejea utendaji wake wa zamani kutoa taarifa kwa wakati tofauti na sasa .

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3