Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
BREAKINGNEWS: AJALI YA BASI NA LORI YAUA WATU  21 IRINGA

BREAKINGNEWS: AJALI YA BASI NA LORI YAUA WATU 21 IRINGA


 WATU ambao idadi yao bado haijafahamika wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi kuingia kizembe barabara kuu na kuligonga lori.

Ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi ya leo jumatatu Novemba 9/2026 katika eneo la Masumbo barabara kuu ya Iringa -Mbeya. 

Mashuhuda waliozungumza na matukio Daima Media kwa njia ya simu wanadai basi hilo lilikuwa likitoka Wasa Kuelekea Iringa mjini na wakati likiingia barabara kuu ya Iringa -Mbeya ndipo lilipogonga lori .

Matukio Daima Media tunaendelea kufuatilia kwa undani zaidi ili kukujuza idadi kamili ya vifo na majeruhi endelea kutufuatilia.





Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3