*DKT. MWIGULU AONGOZA MKUTANO WA KAZI WA MAWAZIRI* Sep 3, 2026 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 03, 2026 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri, kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma.