Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Dkt. Eveline Munisi, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James mara baada ya kuwasili leo Agosti 5, 2026. Dkt. Munisi amefika Iringa kufungua Mkutano Mkuu wa 7 wa Chama cha Wafanyakazi cha TUICO.