Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMUWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MKUTANO WA DHARURA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINIMWA  AFRIKA (SADC ORGAN TROIKA)

MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMUWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MKUTANO WA DHARURA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINIMWA AFRIKA (SADC ORGAN TROIKA)


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Serikali wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ Troika) kuhusu hali ya usalama nchini Madagascar na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
 
Mkutano huo, umefanyika kwa njia ya Mtandao, leo tarehe 22 Juni 2026, Makamu wa Rais akiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam.



 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3