Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
MAMA MZAZI WA HAYATI RAIS MAGUFULI AFARIKI DUNIA

MAMA MZAZI WA HAYATI RAIS MAGUFULI AFARIKI DUNIA


 Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, ambaye ni Suzana Magufuli, amefariki dunia mjini Chato mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu

Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli, aliyesema kuwa Bibi Suzana amefariki nyumbani kwake Chato na kwamba familia itaendelea kutoa taarifa kuhusu taratibu za msiba huo.

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3