Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
JAIJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE ROSE EBRAHIM ATOA MADA WAKATI WA MAFUNZO KWA MAWAKILI WA SERIKALI

JAIJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE ROSE EBRAHIM ATOA MADA WAKATI WA MAFUNZO KWA MAWAKILI WA SERIKALI


Jaiji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Rose Ebrahim akitoa mada kuhusu Utaratibu na Utekelezaji wa Maamuzi ya Mabaraza wakati wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.


Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi akichangia mada kuhusu Utaratibu na Utekelezaji wa Maamuzi ya Mabaraza wakati wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.


Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Rose Ebrahim (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu taratibu na Utekelezaji wa Maamuzi ya Mabaraza kwenye mafunzo ya Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.

Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT), Dkt. Martin Kolikoli akichangia mada kuhusu Utaratibu na Utekelezaji wa Maamuzi ya Mabaraza wakati wa mafunzo ya Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.

Gavana mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga akitoa mada kuhusu Utatuzi wa Migogoro ya Kikodi katika Sekta ya Mafuta kwenye mafunzo ya Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.

Baadhi ya Mawakili wa Serikali wakimsikiliza Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Rose Ebrahim (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Utaratibu na Utekelezaji wa Maamuzi ya Mabaraza wakati wa mafunzo ya Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.

 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3