Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
*RAIS SAMIA MSIBANI KWA LUKUVI*

*RAIS SAMIA MSIBANI KWA LUKUVI*


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili tayari kuwaongoza waombolezaji katika  kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Marehemu William Vangimembe Lukuvi  leo Machi 28, 2026 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.


 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3