BINTI ALIYEKATA TAMAA BAADA YA KUACHWA NA KILA MWANAUME, KUMBE NYOTA YAKE ILIKUWA IMEFUNIKWA NA VUMBI LA KICHAWI!
Naitwa Hadija, binti ambaye nilijaliwa kila kitu
na Mwenyezi Mungu; kuanzia sura ya kuvutia, umbo la kumshtua kila mpita njia,
hadi kazi nzuri katika taasisi moja ya kifedha hapa jijini Arusha. Lakini
pamoja na uzuri wote huo, maisha yangu ya mapenzi yalikuwa ni giza totoro.
Kwa zaidi ya miaka tisa, niliishi maisha ya
upweke uliokithiri. Kila mwanaume niliyeingia naye kwenye mahusiano, alikuwa
anakaa kwa mwezi mmoja au miwili, kisha anapotea bila sababu.
Wengine walikuwa wakiahidi kunioa kabisa, lakini
punde tu siku ya kwenda kutoa barua kwa wazazi ilipokaribia, walikuwa wakipata
matatizo au wanabadilika tabia na kuwa watu wa ajabu. Nilianza kujihisi nina
nuksi na kuanza kujitenga na marafiki zangu.
Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba hata ndugu zangu
walianza kunisemelea kwa siri. Kila nikienda nyumbani likizo, maswali yalikuwa
ni yale yale: "Hadija, mbona mwenzako fulani kashatolewa posa? Wewe
lini?" Maneno haya yalikuwa yananichoma kama mkuki moyoni.
Nilianza kupoteza msisimko wa maisha na kuanza
kuamini kuwa huenda kuna mtu alichezea nyota yangu ili nishindwe kuolewa.
Nilitumia gharama nyingi kwenda kwa watu mbalimbali nchini Tanzania nikitafuta
suluhu, lakini wapi, walikuwa wakiniibia tu pesa zangu na hali ikibaki ileile.
Siku moja nikiwa nimevunjika moyo kabisa,
nilikuwa nasikiliza kipindi kimoja cha redio kilichokuwa kinazungumzia matatizo
ya mahusiano. Msikilizaji mmoja alitoa ushuhuda jinsi maisha yake
yalivyobadilika baada ya kumpata mtaalam mmoja anaitwa Kipemba Doctors kutoka
Kisumu Town, Kenya.
Alielezea jinsi Kipemba Doctors alivyomsaidia
kusafisha nyota yake na kumfungulia milango ya heri ambayo ilikuwa imefungwa na
mahasidi.
Moyo wangu ulishtuka, nikahisi hii ndiyo fursa
yangu ya mwisho. Nilichukua namba ya simu ya Kipemba Doctors ambayo ni +254 708
798256 na kuamua kuwasiliana naye kupitia WhatsApp. Kipemba Doctors alinipokea
kwa ustaarabu mkubwa na kunifanyia utambuzi wa kina.
Aliniambia wazi kuwa kuna mwanamke aliyewahi kuwa
adui yangu zamani alikuwa amefunga mlango wangu wa ndoa ili nishindwe kupata
furaha ya familia.
Kipemba Doctors alinifanyia tiba ya kufungua
milango na kusafisha nyota yangu kwa njia ya asili. Alinihakikishia kuwa
mwanaume wangu wa maisha hatatoka mbali, bali nitaonana naye mahali ambapo
sikutegemea kabisa.
Siku tano tu baada ya tiba ile, nilikuwa nimeenda
kupata chakula cha mchana kwenye mgahawa mmoja wa kawaida tu hapa mjini.
Nilipokuwa nimekaa, mwanaume mmoja mtanashati anaitwa Elias alikuja na kuomba
kukaa mezani kwangu kwa sababu viti vingine vilikuwa vimejaa.
Mazungumzo yetu yalianza kama utani, lakini punde
tukajikuta tunazungumza kwa saa tatu mfululizo. Elias alikuwa mhandisi wa
ujenzi aliyekuwa amerejea nchini kutoka masomoni. Tulianza kuonana mara kwa
mara na baada ya miezi minne, Elias alikuja nyumbani kwetu na barua rasmi ya
kutaka kunioa.
Leo hii mimi ni mke wa mtu, nina amani na furaha
ya ajabu, na hivi karibuni tunatarajia kupata mtoto wetu wa kwanza. Namshukuru
sana Kipemba Doctors kwa kuniondoa kwenye lindi la upweke na kunipa heshima ya
kuitwa mke.
