Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
AJALI MOROGORO

AJALI MOROGORO

 



Na Matukio Daima, Morogoro 

AJALI imetokea usiku wa leo katika eneo la Nanenane manispaa ya Morogoro, barabara kuu ya Morogoro -Dar ambapo dereva wa gari ndogo ya IT iliyokuwa ikisafirishwa kwenda nje ya nchi amefariki Dunia baada ya gari  kugongana na gari Lori la mafuta.

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3