Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN AKIPANDA MTI WA MUEMBE WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA

RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN AKIPANDA MTI WA MUEMBE WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa Muembe (Mangifera indica) katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.


 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3