Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA KUWEKWA WAKFU KWA ASKOFU LUNDU

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA KUWEKWA WAKFU KWA ASKOFU LUNDU

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 4, 2026, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu kwa Kasisi na Canon Charles Mika Lundu kuwa Askofu wa Dayosisi ya Handeni.

Katika ibada hiyo, pia inafanyika hafla ya uzinduzi rasmi wa Dayosisi ya Handeni, iliyotenganishwa na Dayosisi ya Tanga.

Ibada hiyo inafanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Kristu Mfalme, Chanika, Handeni, mkoani Tanga.




 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3