Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
RAIS SAMIA NA RAIS WA ANGOLA WATUMIA USAFIRI WA SGR KUELEKEA DODOMA

RAIS SAMIA NA RAIS WA ANGOLA WATUMIA USAFIRI WA SGR KUELEKEA DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa ameambatana na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Angola, João Manuel Gonçalves Lourenço, wameanza safari ya kuelekea jijini Dodoma kwa kutumia treni ya SGR.


Viongozi hao wameondoka katika Stesheni ya Magufuli jijini Dar es Salaam, kuelekea Dodoma kushiriki hafla ya uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba pamoja na barabara za lami, leo Oktoba 30, 2026.

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3