Home › Uncategories › VIONGOZI WA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA WAWASILI BUNGENI
VIONGOZI WA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA WAWASILI BUNGENI
May 8, 2026
Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakiongozwa na Waziri Prof Adolf Mkenda wamewasili bungeni kwa ajili ya kufuatilia mjadala wa bajeti ya Wizara hiyo leo tarehe 8 Mei 2026 bungeni Jijini Dodoma