Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
MAREKANI YASEMA IMEPIGA HATUA KATIKA MAZUNGUMZO NA IRAN

MAREKANI YASEMA IMEPIGA HATUA KATIKA MAZUNGUMZO NA IRAN

 

Marco Rubio akizungumza na wanahabari

Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani, Marco Rubio amesema kwamba anatumai ziara ya mkuu wa jeshi la Pakistan nchini Iran, itasaidia kuendeleza diplomasia ya kumaliza vita, na kusema kuwa wamepiga hatua katika mazungumzo ya kupatikana kwa amani.

Rubio alielezea kuwa ana matumaini na safari ya maafisa wa Pakistan walioenda Tehran na kusema kuwa safari hiyo itasaidia kuendeleza mazungumzo ya kumaliza vita

Waziri huyo aidha aliikosoa tena jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kutoshirikiana na Marekani katika vita dhidi ya Iran.

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3