Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMTEMBELEA WAZIR MKUU MSTAAFU JOHN MALECELA

MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMTEMBELEA WAZIR MKUU MSTAAFU JOHN MALECELA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Samwel Malecela katika makazi yake Kilimani Jijini Dodoma leo tarehe 13 Mei 2026.


 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3