Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
 "UNALAZIMISHA KUKAA KARIAKOO WAKATI NYOTA YAKO IMEFUNIKWA NA GIZA LA KIJICHO"

"UNALAZIMISHA KUKAA KARIAKOO WAKATI NYOTA YAKO IMEFUNIKWA NA GIZA LA KIJICHO"

 

Naitwa Said, mkazi wa zamani wa Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Kwa miaka tisa, nilikuwa nikihangaika na duka la mazulia, mapazia, na mashuka ya gharama. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara, hivyo niliwekeza kila shilingi niliyokuwa nayo nikiamini nitatoka. 

Lakini ndugu zangu, nilichoambulia ni maumivu ya mgongo kwa kukunjua na kutandika mazulia kila asubuhi huku hakuna mteja anayenunua hata kitambaa cha meza. Mazulia yangu yalianza kufubaa rangi kwa kupigwa na vumbi la barabarani, na panya walianza kutafuna pindo za mashuka.

Hali hii ilikuwa inanidhalilisha sana kama mwanaume. Nilikuwa nafika dukani saa kumi na mbili asubuhi, lakini saa kumi na mbili jioni inafika sijaingiza hata shilingi mia tano. Nilihisi nina nuksi ya ajabu inayoziba macho ya wateja wasione uzuri wa bidhaa zangu.

Nilikaribia kupata kiharusi kwa msongo wa mawazo, nikijua kabisa kuwa mtaji wangu wote unateketea mbele ya macho yangu huku kodi ya fremu ikinitafuna.

Siku moja nikiwa nimekaa dukani kwangu kwa unyonge, nikitazama video za mafanikio kwenye YouTube ili kujifariji, niliona 'comment' (maoni) ya mtu mmoja chini ya video ya mhamasishaji maarufu.

Yule mtu alikuwa akimshukuru sana mtaalamu shupavu anayeitwa Kipemba Doctors kutoka Kisumu Town, Kenya. Alisema, "Kama unahangaika na biashara bila mafanikio, mtafute huyu mtaalamu akukague nyota yako; utakuja kunishukuru."

Bila kupoteza sekunde, niliandika namba yake ya simu ambayo ni +254 708 798256. Niliwasiliana na Kipemba Doctors na kumueleza jinsi duka langu linavyogeuka kuwa gofu.

 Alinisikiliza kwa busara na kuniambia baada ya kuikagua nyota yangu: "Said, unalazimisha kukaa Kariakoo wakati nyota yako imefunikwa na giza la kijicho. Mafanikio yako hayapo Dar, bali yapo mkoani Arusha kwenye biashara hiyo hiyo ya mapambo."

Alinisafisha nyota yangu na kunielekeza mahali pa kwenda kutumilika. Kwa ujasiri wa kipekee, nilifanya uamuzi mgumu wa kuhama jiji. Nilihamishia mabaki ya mazulia yangu mkoani Arusha na kufungua kijiduka kidogo. Ajabu ni kwamba, ndani ya wiki ya kwanza tu, nilipata oda ya kupamba hoteli kubwa ya kitalii!

Leo hii, mimi ni mmoja wa wauzaji na wasambazaji wakubwa wa mazulia na mapambo ya ndani (Interior Design) kanda ya kaskazini, namiliki maduka matatu makubwa na nimejenga nyumba ya kifahari. Namshukuru sana Kipemba Doctors kwa kunivua gunia la njaa la Dar na kunionyesha kiti changu cha enzi Arusha.


Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3