Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
SASA HIVI NI BOSI WA MADUKA YA VIFAA VYA UJENZI BAADA YA KUAMBIWA NYOTA YAKE HAIPO POSTA!

SASA HIVI NI BOSI WA MADUKA YA VIFAA VYA UJENZI BAADA YA KUAMBIWA NYOTA YAKE HAIPO POSTA!

 

Naitwa Deogratius, maarufu kama 'Deo' mkazi wa zamani wa Sinza, jijini Dar es Salaam. Kwa miaka saba nilikuwa najijua mimi ni bishoo wa mjini, navaa nguo za gharama na kupiga pamba kali ili nionekane nimefika, lakini ukweli ulikuwa mchungu - nilikuwa naishi maisha ya "fake". 

Nilikuwa najishughulisha na udalali wa magari na viwanja pale Posta na Kariakoo, lakini kila dili nililokuwa nafanya lilikuwa linaishia mikononi mwa wengine. Mimi naambulia "asante" au elfu kumi ya kula mchana.

Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba nilikuwa nadaiwa kodi ya chumba miezi minane, na kila mwenye nyumba akipita nilikuwa najificha uvunguni mwa kitanda. Nilikuwa nakula kwa "mangi" kwa deni huku mtaani nikijifanya bosi. 

Nilihisi nina nuksi ya ajabu kwa sababu kila nikikaribia kupata hela nyingi, dili linaingia mdudu na mteja anapotea ghafla. Nilianza kuona maisha hayana maana na kila mtu ananicheka moyoni mwake.

Siku moja nikiwa nimekaa kwenye daladala kuelekea Mbagala, nilimsikia mama mmoja akisimulia jinsi mwanaye alivyokuwa anahangaika kutafuta kazi bila mafanikio hadi alipowasiliana na mtaalamu mmoja shupavu anayeitwa Kipemba Doctors kutoka Kisumu Town, Kenya.

Yule mama alisema, "Kipemba Doctors hatoi utajiri wa masharti, yeye anakagua nyota yako na kukuambia wapi Mungu ameweka funguo zako za maisha."

Bila kupoteza sekunde, niliandika namba yake ambayo ni +254 708 798256. Nilimtafuta Kipemba Doctors kwa njia ya simu na kumuelezea jinsi maisha yangu yalivyokuwa kama igizo la huzuni. 

Baada ya kuikagua nyota yangu kwa umakini, aliniambia maneno yaliyonishtua: "Deo, unalazimisha kuishi mjini Dar es Salaam ambapo nyota yako imezimwa na moshi wa magari. Mafanikio yako yapo mkoani Njombe, na siyo kwenye udalali, bali kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi."

Alinisafisha nyota yangu na kunifanyia tiba ya kuniondolea vifungo vya umaskini. Kwa imani, nilikopa hela kidogo na safari ikaanza kuelekea Njombe. Nilianza kwa kufanya kazi kwenye 'Hardware' ya mtu mwingine ili nijifunze, lakini baada ya muda mfupi, nilipata mwekezaji aliyeniamini na kunipa mtaji wa kuanza duka langu dogo.

Ajabu ni kwamba, tangu nianze biashara hiyo Njombe, kila mwaka nimekuwa nikiongeza tawi jipya. Leo hii, mimi ndiye mfalme wa vifaa vya ujenzi Njombe na Makambako, namiliki magari ya usafirishaji na nimejenga ghorofa langu la kwanza. Namshukuru sana Kipemba Doctors kwa kunitoa kwenye maisha ya maigizo ya Dar na kunipeleka kwenye utajiri wa kweli Njombe.


Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3