MREMBO ALIYEKUWA AKIPAMBA HARUSI ZA WENZAKE HUKU YEYE AKILALA NA UPWEKE!
Naitwa Brenda, mkazi wa jijini Arusha. Kazi yangu
ni kuratibu na kupamba sherehe za harusi (Wedding Planner). Kwa miaka kumi,
nimekuwa nikiwaingiza mamia ya maharusi ukumbini kwa mbwembwe na bashasha,
lakini moyoni nilikuwa na kidonda kikubwa.
Kila nikimaliza kupamba harusi ya mtu na kurudi
kwangu usiku, nilikuwa nalia kwa uchungu nikijiuliza, "Lini itakuwa zamu
yangu?"
Licha ya urembo wangu na uwezo wangu mkubwa wa
kifedha, wanaume walikuwa wakinikimbia kama vile mimi ni ugonjwa wa mlipuko.
Kila niliyeanzisha naye mahusiano, alikuwa anakaa mwezi mmoja na kusema,
"Brenda, wewe ni mzuri sana lakini sipo tayari kwa ndoa," kisha baada
ya wiki mbili namuona anaoa mwanamke mwingine. Nilihisi nina nuksi inayovutia
wanaume wa "kupitisha muda" tu lakini siyo wa kufunga pingu za
maisha.
Nilitumia mamilioni ya pesa kwa wataalam
mbalimbali nchini Tanzania wakidai kusafisha nyota yangu. Nimeoga maji ya
maziwa, nimefukiza uvumba wa kila aina, lakini wapi! Nilianza kuamini kuwa
labda kazi yangu ya kupamba harusi za wenzangu ndiyo ilikuwa inaniletea mikosi.
Nilifikia hatua ya kutaka kuacha kazi yangu kwasababu kila harusi niliyopamba
ilikuwa inanikumbusha upweke wangu.
Siku moja nikiwa kwenye shughuli ya harusi kubwa
jijini Nairobi, nilikutana na mama mmoja maarufu ambaye ni mbunifu wa mavazi.
Aliona nina huzuni machoni na baada ya kumueleza shida yangu, alinipa siri moja
kuu: "Brenda, nyota yako imetiwa 'gundi ya kutoonekana' na mahasidi.
Tafuta mtaalam shupavu anaitwa Kipemba Doctors kutoka Kisumu Town, Kenya."
Bila kupoteza muda, niliichukua namba yake ambayo
ni +254 708 798256 na kuamua kuwasiliana naye kupitia WhatsApp. Kipemba Doctors
alinifanyia utambuzi wa kina na kuniambia kuwa nyota yangu ilikuwa imezimwa na
mwanamke mmoja ambaye nilikuwa nafanya naye kazi zamani akihofia nitapata mume
tajiri kuliko yeye.
Kipemba Doctors alinifanyia tiba ya kusafisha
nyota na kunipaka "mafuta ya mvuto wa ajabu" kwa njia ya asili.
Alinihakikishia kuwa ndani ya muda mfupi, nitapata mume ambaye atanishangaza
kwa upendo na utajiri.
Siku kumi na moja tu baada ya tiba hiyo,
nilialikwa kwenye dhifa moja ya jioni (Cocktail Party) ya wafanyabiashara
wakubwa. Hapo ndipo nilikutana na mwanaume mmoja mtanashati, mnyenyekevu na
milionea anaitwa David.
David alinifuata na kuniambia kuwa tangu anione
niingie mlangoni, alihisi mng'ao wa ajabu ambao haujawahi kuuona kwa mwanamke
mwingine. Talianza urafiki na ndani ya miezi mitano, David aliniandalia harusi
ya ndoto yangu - safari hii mimi ndiye niliyepambwa na siyo mpambaji!.
Leo hii mimi ni mke wa milionea, tunaishi maisha
ya kifahari na nina heshima kubwa. Namshukuru sana Kipemba Doctors kwa kunivua
gunia la nuksi na kunifanya malkia wa nyumba yangu.
