Home › Uncategories › MAHAKAMA YA WILAYA YA MUFINDI YAADHIMISHA SIKU YA SHERIA NCHINI
MAHAKAMA YA WILAYA YA MUFINDI YAADHIMISHA SIKU YA SHERIA NCHINI
Feb 2, 2026
Watumishi wa mahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakiwa katika picha ya pamoja leo ni shiku ya sheria Nchini ambapo mahakama zote nchini zimeungana na mahakama kuu ya Tanzania kuadhimisha siku hii.