SIASA MTOTO WA JENISTA MHAGAMA ATEMWA KUWANIA UBUNGE PERAMIHO Jan 25, 2026 Mkuu wa wilaya ya Kalambo na Katibu wa zamani wa CCM wilaya ya Mbarali Dkt. Lazaro Komba ateuliwa kuipeperusha bendera ya CCM kuwania ubunge Jimbo la Peramiho