MSAADA WAKO MUHIMU KUMSAIDIA BELLA CHALE KULIPIA BILI YA MATIBABU YAKE
Dada Bella Ramadhani Chale anapata matibabu ya mapafu kujaa maji katika Hospitali ya St. Francis Ifakara, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro. Licha ya kupata matibabu na kuruhusiwa, bado anashindwa kutoka hospitalini kutokana na deni (bili) ya matibabu.
Tunashukuru Kwa huduma nzuri tuliyopata na Madaktari wametupa ruhusa ya kurudi nyumbani, ila kwa unyenyekevu: “Mimi Bella Ramadhani Chale, nashukuru uongozi wa Hospitali ya St. Francis Ifakara kwa matibabu mazuri. Naomba Watanzania wenzangu msaada wa kifedha ili niweze kulipa bili ya matibabu shilingi 800,000, ikijumuisha dawa, vipimo na kukaa wodini tangu kufikishwa hospitalini.” 🙏.
Msaada wako, hata mdogo, unaweza kumrudisha Bella nyumbani.
Tusaidiane.
📞 Namba ya Msaada: 0687 376 176 Jina la usajili: (Pilly Chale)
