Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
MAKAMU WA RAIS NDEJEMBI AKICHEZA MPIRA WA KIKAPU

MAKAMU WA RAIS NDEJEMBI AKICHEZA MPIRA WA KIKAPU

 



Makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, mhe. Deogratius John Ndejembi, akicheza mpira wa kikapu (basketball) katika uwanja wa kikapu wa Uzunguni, Manispaa ya Sumbawanga, mkoa wa Rukwa, muda mfupi kabla ya uzinduzi wa ligi ya kikapu iliyoandaliwa na chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Rukwa, tarehe 14 Oktoba 2026.


Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3