Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
MAKAMU WA RAIS MHE NDEJEMBI AUNGANA NA WANANCHI KUFANYA MAZOEZI

MAKAMU WA RAIS MHE NDEJEMBI AUNGANA NA WANANCHI KUFANYA MAZOEZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameungana na wananchi mbalimbali kufanya mazoezi ya asubuhi katika barabara ya fukwe za Coco beach kuelekea Daraja la Tanzanite, Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 19 Septemba 2026.


 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3