Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
UGONJWA WA MOYO TISHIO KWA JAMII -DKT HERY MWANDOLELA

UGONJWA WA MOYO TISHIO KWA JAMII -DKT HERY MWANDOLELA

Na Angelina Mbunda(UoI) MATUKIO DAIMA

Takribani watu milioni Ishirini wanafariki kwa mwaka mmoja kutokana na magonjwa ya moyo yanayosbabishwa na kukaa kwa muda mrefu bila ya kusimama.

"Kwa takwimu za mwaka Jana zinaonesha takribani watu milioni Ishiri wanafariki ndani ya mwaka mmoja kwa ugonjwa wa moyo ambao unatokana  na kukaa kwa muda mrefu bila ya kusimama".

"Pia vipo viashiria vingi ambavyo mtu akiwa anakaa kwa muda mrefu bila ya kusimama atapata ugonjwa wa moyo japo kuwa anaweza akapata na magonjwa mengine Kama vile kisukari, na saratani. 

Hivyo anapaswa kujua changamoto haiji kwa haraka HUwa inakuja taratibu Sana na inaweza kumpata mtu miaka kadhaa mbele".

Naye Caedmon Mtweve  amesema kuwa ugonjwa wa moyo hautokani na kukaa kwa muda mrefu tu vile vile ulaji wa vyakuae vyenye mafuta mengi vinaweza kusababisha ugonjwa wa moyo.TAZAMA VIDEO HII BOFYA LINK

"Ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi vinaweza kuathiri moyo kwasababu mafuta yanaenda kuganda kwenye mishipa ya damu na kusababisha dam kuto kufanya kazi vizuri".

Hivyo kutokana na kuendelea kwa magonjwa ya moyo hatuna budi kutafuta nafasi ya kufanya mazoezi walao Kila siku ata dakika chahe ili tuweze kuepuka ugonjwa huo wa moyo ilo hasa wafanyakazi wa maofisini na madreva wa magari ya habiria na mozigo.TAZAMA HAPA FULL VIDEO BOFYA LINK HII

Kwa ushauri wa Kiafya wasiliana na Dkt Hery Mwandolela kwa namba 0758012006

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3